NAFASI ZA KAZI | New

KARIBU CHUO CHA UFUNDI STADI KIDT VTC MOSHI Bridging the Gap of Education Through Vocational Skills

FOMU NA MAELEZO YA KUJUNGA NA CHUO | New FOMU YA KOZI FUPI | New KOZI ZA 2019 | New KOZI MAALUMU YA F4 2018-PRE F5 New

KIDT-VTC NI CHUO CHA UMMA KINATOA MAFUNZO YA UFUNDI KATIKA FANI MBALIMBALI.

Kama Taasisi ya kutoa Mafunzo KIDT-VTc inaendesha Mafunzo yake chini ya Mamlaka ya ufundi Stadi VETA.Kidt-vtc ni chuo cha umma kipo mkoa wa kilimanjaro. Chuo kipo moshi mjini eneo la boma mbuzi-mkabala na serengeti breweries.chuo kinatoa mafunzo ya ufundi katika fani mbalimbali. Kwa mawasiliano piga: +255 766 415 696.E-mail kidtcollege@gmail.com


Long Courses For Level-level 1-3 (mafunzo ya muda mrefu )

Baadhi ya Mafunzo hayo ni kama: Motorvehicle and AgroMechanics, Auto Electrical, Welding And Metal Fabrication na nyingine nyingi. Kwa Maelezo zaidi

Short Courses for I to 6 Months

Baadhi ya Kozi hizo ni Kama: Auto Body Repair, Smart Driving Course For C3, Basic Electronics And Repair. Kwa Maelezo Zaidi

ICT/IT Proffessional And Specialization Courses

Baadhi ya Kozi zitakazotolewa Ni Computer Maintanace and Networking,Webiste Design and Hosting, Multimedia And Graphics Design. Kwa Maelezo zaidi

Extra Free Courses

Masomo Haya yatatolewa bila ya Malipo kwa mwanafunzi: Communication Skills, Basic Computer Skills, Ujasiriamali. Kwa Maelezo Zaid

Kwanini Ujiunge na KIDT-VTC

Kama Taasisi ya kutoa Mafunzo KIDT-VTc inaendesha Mafunzo yake chini ya Mamlaka ya ufundi Stadi VETA.


FOMU ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA MUDA MREFU| DOWNLOAD KIPEPERUSHI CHA KOZI ZETU HAPA| FORM ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA MUDA MFUPI| MAELEZO NAMNA YA KUJIUNGA NA CHUO CHETU|

Chuo Chetu kina Walimu wenye Uwezo na Umahiri katika Kila Fani

Chuo chetu ni Miongoni mwa vyuo vichache venye vifaa vya kisasa vya kufundishia. Hii ni pamoja na Karakana na Maabara Kwa ajili ya Mazoez Kila siku

Chuon Kwetu kila mwanafunzi anapata Nafasi ya kujifunza Computer, Pamoja na Mafunzo kwa njia za Vitendo. Pia zipo Hostel za Kisasa na Huduma nafuu ya Bima ya Afya