Admission Procedures

A student will learn about auto Body Repairs painting and Signwritings

mwanafunzi atafundishwa kwa vitendo mafunzo ya udereva wa magari kwa ngazi ya Leseni Daraja C

Mafunzo ya Awali ya Ufundi wa umeme wa majumbani yatatolewa kwa mwanafunzi

Mafunzo ya awali ya Vifaa vya umeme na jinsi ya kuvitengeneza

Mafunzo ya ushonaji na Ufumaji kwa nguo za aina zote yanatolewa pia ufundi wa mitindo

Mafunzo ya ELimu ya ujasiriamali pamoja na Mafunzo kwa Watoa Huduma kwa Wateja

Mafunzo ya ELimu ya utengenezaji wa Bidhaa za ngozi Kama vile: Viatu, Mikanda ya Kiunon, Mikoba

Mafunzo ya Huduma za chakula pamoja na uuzaj wa maduka ya viywaji kama Depot