ICT/IT Proffessional & Specializa Courses

Mafunzo ya Ufundi wa Computer pamoja na Computer Network

Mafunzo ya Awali ya Program za Computer

Mafunzo ya Awali ya Ufundi wa umeme wa Vifa vya Computer yatatolewa kwa mwanafunzi

Mafunzo ya Graphics Design and Video Production

Mafunzo ya Jinsi ya kutengeneza Website za Kisasa na Jinsi ya kuzifanyia Hosting

Mafunzo ya utengenezaji Mifumo kwa Ajili ya Kuhifadhi Data

Mafunzo ya program za Uchambuzi wa Data na Jinsi ya Kuhifadhi Data

Mafunzo ya Graphics Design pamoja na Multimedia

Mafunzo ya Jinsi ya Kutimia Mitandao kwa Usahihi na Barua Pepe