Long Term Course Offered

Ufundi wa Magari na mashine za Mashambani

Ufundi wa Umeme Wa Magari na na Jinsi ya kufanya Wiring kwenye Gari

Mafunzo ya Awali ya Ufundi wa umeme wa majumbani yatatolewa kwa mwanafunzi

Ufundi wa kunyoosha Body za Magari na Jinsi Ya kulipiga Gari Rangi kwa ustad

ufundi Seremala na jinsi ya kubuni na kutengeneza Vifaa vya Mbao

Mafunzo Ufundi Mwashi na Jinsi ya kujenga Nyumba za tofali za Kisasa

Mafunzo ya Ubunifu wa mitindo Mbalimbali ya nguo na ufundi Cherehani

Mafunzo ya Ukatibu wa Ofisini kwa ngazi Daraja la Kwanza na La pili

Mafunzo ya Awali ya Ufundi wa Umeme na Vifaa vinaavyotumia Umeme

Mafunzo ya Watumishi wa Mahotelingi watumishi wa Nyumbani na ma Ofisin Pamoja na Wahudumu Misitu